Elimu zitolewazo na MKUKI Vocational Training Center ni kama zifuatazo;
1. Elimu ya ufundi Magari
2. Elimu ya ufundi welding (Kuchomea)
3. Elimu ya Ufundi wa Kushona kwa kutumia Cherahani
4. Elimu ya Ususi
5. Elimu ya Mapishi
6. Elimu ya Kilimo na stadi za kazi
7. Darasa la QT kwa wanafunzi wa kidato cha 4 na cha 6
MKUKI tunapatikana Njia Panda ya kwenda Dar es Salaam eneo la Himo Kama unatoka Moshi ukipita njia panda kuelekea Himo Mjini sisi tupo mkono wa kushoto. Jengo lipo barabarani kabisa linaonekana kwa maandishi makubwa MKUKI.

Sanduku letu la Posta: P.O.BOX 171, HIMO, MOSHI
Namba zetu za simu: 0754291486, 0785462004, 0712823601
Tovuti yetu ni: www.mkukieducation.blogspot.com
Barua pepe:
No comments:
Post a Comment