Wednesday, 6 September 2017

DARASA KWA AJILI YA MAFUNZO YA MAPISHI

Hili ni darasa mahususi kwa mafunzo ya upishi wa mapishi mbalimbali. Kwa sasa MKUKI tumebobea kufundisha mafunzo ya upishi wa Maandazi, Mikate, Keki na kadhalika.

Unakaribishwa sana.

Muda wa mafunzo ni : Miezi 3

Gharama za Mafunzo: Tshs...................

Darasa linachukua wanafunzi wasiozidi 20 kwa wakati mmoja.


Pata taarifa muhimu kupitia fomu zetu. Zina taarifa ya namna ya kujiunga, malipo, na Benki gani ya kwenda kulipia.



No comments:

Post a Comment

DARASA KWA AJILI YA MAFUNZO YA MAPISHI

Hili ni darasa mahususi kwa mafunzo ya upishi wa mapishi mbalimbali. Kwa sasa MKUKI tumebobea kufundisha mafunzo ya upishi wa Maandazi, Mi...