Hili ni darasa mahususi kwa mafunzo ya upishi wa mapishi mbalimbali. Kwa sasa MKUKI tumebobea kufundisha mafunzo ya upishi wa Maandazi, Mikate, Keki na kadhalika.
Unakaribishwa sana.
Muda wa mafunzo ni : Miezi 3
Gharama za Mafunzo: Tshs...................
Darasa linachukua wanafunzi wasiozidi 20 kwa wakati mmoja.
Pata taarifa muhimu kupitia fomu zetu. Zina taarifa ya namna ya kujiunga, malipo, na Benki gani ya kwenda kulipia.
MFUKO WA KUDHIBITI UKIMWI KILIMANJARO (MKUKI)
Wednesday, 6 September 2017
MKUKI VOCATIONAL TRAINING CENTER
MKUKI Vocational Training Center ni Center inayotoa huduma za elimu ya awali kwa wanafunzi waliomaliza darasa la Saba na Elimu ya form four.
Elimu zitolewazo na MKUKI Vocational Training Center ni kama zifuatazo;
1. Elimu ya ufundi Magari
2. Elimu ya ufundi welding (Kuchomea)
3. Elimu ya Ufundi wa Kushona kwa kutumia Cherahani
4. Elimu ya Ususi
5. Elimu ya Mapishi
6. Elimu ya Kilimo na stadi za kazi
7. Darasa la QT kwa wanafunzi wa kidato cha 4 na cha 6
MKUKI tunapatikana Njia Panda ya kwenda Dar es Salaam eneo la Himo Kama unatoka Moshi ukipita njia panda kuelekea Himo Mjini sisi tupo mkono wa kushoto. Jengo lipo barabarani kabisa linaonekana kwa maandishi makubwa MKUKI.

Sanduku letu la Posta: P.O.BOX 171, HIMO, MOSHI
Namba zetu za simu: 0754291486, 0785462004, 0712823601
Tovuti yetu ni: www.mkukieducation.blogspot.com
Barua pepe:

Subscribe to:
Posts (Atom)
DARASA KWA AJILI YA MAFUNZO YA MAPISHI
Hili ni darasa mahususi kwa mafunzo ya upishi wa mapishi mbalimbali. Kwa sasa MKUKI tumebobea kufundisha mafunzo ya upishi wa Maandazi, Mi...
-
Hili ni darasa mahususi kwa mafunzo ya upishi wa mapishi mbalimbali. Kwa sasa MKUKI tumebobea kufundisha mafunzo ya upishi wa Maandazi, Mi...
-
MKUKI Vocational Training Center ni Center inayotoa huduma za elimu ya awali kwa wanafunzi waliomaliza darasa la Saba na Elimu ya form four....